Mkenya David Munywa amewashangaza mashabiki wa mchezo wa kurusha vinyoya maarufu darts, baada ya kuanza kwa kishindo, katika mashindano ya dunia ya datz jijini London.
Munywa ambaye ni dkt wa mifugo, mwenye umri wa miaka 30, na mkenya wa kwanza kufuzu kwenye mashindano hayo, amerejea kwa kishindo na kumshinda bingwa wa mchezo huo, katika makala ya world grand breaks mwaka wa 2024, Mbelgiji Michael di Deka, kwa seti tatu didhi ya mbili, baada ya kuwa nyuma kwa seti mbili kwa sufuri.
Ushindi wake umehusisha mwanzo mkamilifu wa mikuki sita, na kufunga kwa pointi 235, ukitambulika kama mojawapo ya mshangao mkubwa wa raundi ya kwanza na hatua muhimu kwa mchezo wa afrika.