WANASIASA WAMEENDELEA KUHIMIZWA KUEPUKA UHUNI KWENYE SIASA ZAO
Seneta wa Nandi, samson Cherargei, amewataka wanasiasa nchini kuepuka matumizi ya makundi ya vijana maarufu kama goons kwenye mikutano ya kisiasa ili kuzua vurugu Cherargei amesema viongozi wa kisiasa wanapaswa…
