DAVID MUNYWA ANYAKUA USHINDI WA KIHISTORIA KATIKA MCHEZO WA VINYOYA(DARTS)
Mkenya David Munywa amewashangaza mashabiki wa mchezo wa kurusha vinyoya maarufu darts, baada ya kuanza kwa kishindo, katika mashindano ya dunia ya datz jijini London. Munywa ambaye ni dkt wa…