Mamia ya vijana nchini wamejitokeza kwenye maeneo mbalimbali ya nchi katika zoezi la kuwasajili makurutu watakaojiunga na jeshi la kenya KDF.
Katika eneo bunge la Kapenguria kaunti ya Pokot Magharibi,zoezi hilo linaendeshwa katika uwanja wa shule ya upili ya Chewoyet.
Baada ya kukamilika kwa zoezi hilo,wasimamizi wa zoezi lenyewe watatoa maelezo kuhusu idadi ya makurutu waliofuzu
Tutakujuza mengi zaidi baadaye