Watu 13 wamethibitishwa kufariki katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea eneo la Kariandusi karibu na Kikopey katika barabara ya Nakuru-Nairobi
Kamanda wa polisi eneo la Gilgil Winston Mwakio amethibitisha ajali hiyo
Tutakupa maelezo zaidi baadaye