UTAFITI WA EACC; KAUNTI YA KAKAMEGA INAONGOZA KWA KUCHUKUA HONGO IKIFUATWA NA POKOT MAGHARIBI, ISIOLO, VIHIGA NA GARISSA.
Kaunti ya Kakamega iliandikisha hongo ya juu zaidi nchini Kenya ya Sh79,305, kulingana na matokeo yaliyotolewa katika Utafiti wa Kitaifa wa Jinsia na Ufisadi 2025.Ripoti hiyo inaorodhesha kaunti kulingana na…