Wakulima Uasin Gishu wageukia teknolojia kwa uzalishaji wa chakula
Wakulima wa eneo la Moiben katika kaunti ya Uasin Gishu wameanza kugeukia teknolijia kama njia mojawapo ya kuboresha uzalishaji wa chakula kwenye kaunti hiyo. Wakulima hao kwa sasa wanapokea mafunzo…