SERIKALI YAONYA KUHUSU UDANGANYIFU WA MISHAHARA KATIKA SEKTA YA UTUMISHI WA UMMA
Serikali imeibua wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa visa vya ulaghai wa mishahara na ubadhirifu ndani ya Sekta ya utumishi wa umma, ikionya kwamba hatua za kinidhamu zitachukuliwa dhidi ya maafisa wanaohusika…