IDARA YA UTALII NA WANYAPORI YAKANUSHA KAULI YA GACHAGUA
Wizara ya Utalii na wanyama pori, imeyakosoa matamshishi ya kiongozi wa chama cha DCP Rigathi Gachagua, aliye wataka watalii na wawekezaji wa kigeni kuahirisha safari zao za kuja hapa nchini…
Wizara ya Utalii na wanyama pori, imeyakosoa matamshishi ya kiongozi wa chama cha DCP Rigathi Gachagua, aliye wataka watalii na wawekezaji wa kigeni kuahirisha safari zao za kuja hapa nchini…
As millions of football fans around the world tuned in for the FIFA World Cup 2026 Final, Aperit FM proudly joined the global celebration by delivering an exciting live broadcast…
Idara ya utabiri wa hali ya anga, imetangaza kwamba sehemu nyingi humu nchini, zitakumbwa na hali ya hewa kavu katika kipindi cha saa 24 zijazo, japo mvua inatarajiwa katika sehemu…
Mgombea wa chama cha DCP Sammy Douglas Kamau Waweru maarufu kama Ngotho, ametangaza mshindi wa uchaguzi wa ubunge wa eneo la Ol Kalou, kwenye kaunti ya Nyandarua, Kwa kupata kura…
Naibu Inspekta mkuu wa polisi Eliud Lagat, ameta onyo kali kwa makundi ya wahuni, akisema yatakabiliwa kikamilifu kwa mujibu wa sheria. Akizungumza katika eneo la Moi’s Bridge kaunti ya Uasin…
Maelfu ya wafanyikazi wa umma wanatarajiwa kuanza kupokea nyongeza ya mishahara kuanzia Agosti mosi mwaka huu, baada ya waziri wa utumishi wa umma Geoffrey Ruku, kutangaza utekelezwaji wa ongezeko hilo.…
Waziri wa elimu Julias Migos Ogamba, amesema kucheleweshwa kwa fedha za ufadhili wa serikali kwa Dhule, Vyuo vya kiufundi, TVET pamoja na Vyuo Vikuu vya umma, kunatokana na upungufu wa…
Maamlaka ya kudhibiti bei za mafuta na kawi EPRA, imewahakikishia wakenya kuhusu kufanya kipaumbele maslahi ya wateja ili kuhakikisha kwamba hawaathiriwi na mabadiliko ya bei za mafuta. Ni kutokana na…
Huduma za afya nchini zinatarajiwa kutatizika baada ya Muungano wa Vyama Vya Wafanyikazi wa Sekta ya afya kutangaza mgomo wa Kitaifa kuanzia Julai 20 mwaka huu. Katika taarifa yao muungano…
Wito umetolewa kwa jamii za eneo la Bonde la Kerio kudumisha Amani na umoja na kujitenga na visa ambavyo vinasababisha ukosefu wa usalama katika eneo hilo. Akizungumza katika hafla ya…