SHEREHE ZA IDD UL-FITR YAADHIMISHWA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Waumini wa dini ya kiislamu kote nchini wameungana na wenzao leo hii kusherehekea sikukuu ya idd ul-fitr. Idd husherehekewa kuashiria mwisho wa mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhan, kwa kawaida…
