Kindiki: Maandalizi ya uzinduzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta Lamu yakamilika
Naibu Rais wa Kenya, Prof. Kithure Kindiki, amesema maandalizi ya uzinduzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Lamu yamekamilika, huku uzinduzi rasmi ukipangwa kufanyika Septemba 30. Kwa mujibu wa Kindiki,…
