MUTUSE APUUZILIA MBALI UKABILA ASISIZITA UMUHIMU WA UMOJA NA MSHIKAMANO
Mbunge wa Kibwezi Magharibi Mwengi Mutuse amewataka wakazi wa kaunti ya Pokot Magharibi kujitenga na viongozi wanaoeneza siasa za kikabila. Mutuse, aliyezungumza katika kaunti ya Pokot Magharibi, amesema siasa za…
