LAGAT ATEMA MOTO KWA WAHUNI NA WAGEMAJI
Naibu Inspekta mkuu wa polisi Eliud Lagat, ameta onyo kali kwa makundi ya wahuni, akisema yatakabiliwa kikamilifu kwa mujibu wa sheria. Akizungumza katika eneo la Moi’s Bridge kaunti ya Uasin…
Naibu Inspekta mkuu wa polisi Eliud Lagat, ameta onyo kali kwa makundi ya wahuni, akisema yatakabiliwa kikamilifu kwa mujibu wa sheria. Akizungumza katika eneo la Moi’s Bridge kaunti ya Uasin…
Maelfu ya wafanyikazi wa umma wanatarajiwa kuanza kupokea nyongeza ya mishahara kuanzia Agosti mosi mwaka huu, baada ya waziri wa utumishi wa umma Geoffrey Ruku, kutangaza utekelezwaji wa ongezeko hilo.…
Waziri wa elimu Julias Migos Ogamba, amesema kucheleweshwa kwa fedha za ufadhili wa serikali kwa Dhule, Vyuo vya kiufundi, TVET pamoja na Vyuo Vikuu vya umma, kunatokana na upungufu wa…
Maamlaka ya kudhibiti bei za mafuta na kawi EPRA, imewahakikishia wakenya kuhusu kufanya kipaumbele maslahi ya wateja ili kuhakikisha kwamba hawaathiriwi na mabadiliko ya bei za mafuta. Ni kutokana na…
Huduma za afya nchini zinatarajiwa kutatizika baada ya Muungano wa Vyama Vya Wafanyikazi wa Sekta ya afya kutangaza mgomo wa Kitaifa kuanzia Julai 20 mwaka huu. Katika taarifa yao muungano…
Wito umetolewa kwa jamii za eneo la Bonde la Kerio kudumisha Amani na umoja na kujitenga na visa ambavyo vinasababisha ukosefu wa usalama katika eneo hilo. Akizungumza katika hafla ya…
Wanafunzi kadhaa na walimu wanaendelea kuhudumiwa hospitalini baada ya basi lao la shule kuhusika kwenye ajali katika barabara ya Kabarnet-Margat. Kulingana na shirika la msaklaba mwekundu, basi hilo lilikuwa likiwasafirisha…
Serikali hapo kesho inatarajiwa kuzindua awamu ya pili ya mpango wa kuwainua vijana kiuchumi wa NYOTA, uku ikilenga kutoa hadi Shilingi elfu 50 kwa kila mmoja wa vijana elfu 222.…
Wakenya uwenda wakakumbana na ongezeko la bei ya mafuta kufuatia kupanda kwa bei ya mafuta gafi katika soko la kimataifa uku maamlaka ya kudhibiti kawi EPRA ikitarajiwa kutangaza mapitio mapya…
Wizara ya afya imeonya kuwa uhaba wa damu unaoendelea kushuhudiwa katika hosipitali mbalimbali nchini unahatarisha maisha ya wagonjwa wanao itaji huduma za dharura na matibabu maalum. Kwa mujibu wa wizara…