MAKAAZI YA LAMIN YAMAL YAVAMIWA NA MAJAMBAZI
Watu wasiojulikana walivamia makaazi ya mchezaji wa timu ya taifa ya Uhispania Lamin Yamal muda mfupi baada ya nyota huyo kuipatia ushindi timu yake katika nusu fainali ya kombe la…
Watu wasiojulikana walivamia makaazi ya mchezaji wa timu ya taifa ya Uhispania Lamin Yamal muda mfupi baada ya nyota huyo kuipatia ushindi timu yake katika nusu fainali ya kombe la…
Ufaransa yaambulia patupu kwenye mchuano wa nusu fainali dhidi ya Uhispania. Lakini je Uhispania inatosha kutwaa kombe la dunia Nahodha wa Ufaransa, Kylian Mbappe, amesema timu yake ilionesha mchezo wa kiwango…
Uhispania imefanikiwa kutinga fainali ya Kombe la Dunia la Fifa 2026 baada ya kuipiga kumbo Ufaransa kwa ushindi wa mabao 2-0 katika mchezo wa nusu fainali uliochezwa mjini Dallas, Marekani.…
Timu ya tafa ya kandanda ya wasichana wasiozidi umri wa miaka 17, Junior Starlets wamefuzu kwa michuano ya Kombe la Dunia. Kenya imejikatia tiketi ya kushiriki michuano ya kombe la…
Timu za Uingereza na Norway zitachuana baadaye leo katika mechi ya robo fainali ya Kombe la Dunia. Mechi hiyo itashuhudia mchuano mkali wa washambuliaji wawili nyota, Erling Haaland wa Norway…
Uhispania imefuzu kuingia katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ubelgiji katika mechi ya robo fainali iliyochezwa mjini…
Ufaransa imefuzu kucheza nusu fainali za Kombe la Dunia baada ya kuitupa nje Morocco kwa kuicharaza 2-0 kwenye robo fainali licha ya Kylian Mbappe kukosa mkwaju wa penati baada ya…
Awali Argentina ilifanikiwa kutinga robo fainali kwa kuipiga kumbo na kuitoa nje Misri. Ilikuwa ni tukio lingine la kusisimua kutoka kwa timu ya Argentina ambayo haijui itashindwa lini. Wakiwa nyuma kwa mabao…
Ruben Vargas wa Uswisi alifunga penalti ya mwisho na kuiwezesha timu yake kuishinda Colombia 4-3 katika mikwaju ya penalti baada ya dakika 120 bila bao. Bahati ililalia upande wa Uswisi katika…
Wenyeji wenza Marekani wametolewa nje ya Kombe la Dunia baada ya kushindwa 4-1 na Ubelgiji katika hatua ya 16 bora. Ureno nayo imepigwa kumbo na kutolewa na Uhispania baada ya…