You are currently viewing LONYANGOLE ATANGAZA MVUA ZA WASTANI HADI JANUARY MWAKA UJAO

LONYANGOLE ATANGAZA MVUA ZA WASTANI HADI JANUARY MWAKA UJAO

Mkurugenzi wa idara ya utabiri wa hali ya anga katika kaunti ya Pokot Magharibi Wilson Lonyangole ametangaza kuanza rasmi kwa mvua ya vuli kwneye maeneo tofauti kaunti hiyo

Kulingana na Lonyangole mvua hiyo iliyo juu ya wastani itaendelea kutoka mwezi huu wa Septemba hadi January mwaka ujao

Ametumia fursa hiyo kuwarai wenyeji wa nyanda tofauti kutumia mvua kupanda mimea inayochukua muda mfupi kukomaa ,huku pia akitoa wito kwa idara ya majanga kujiandaa kikamilifu kukabiliana na athari ambazo huenda zikajitokeza kutokana na mvua hiyo

APERIT FM,HII NI YETU