SERIKALI YATENGA FEDHA KUWASETIRI WAFUGAJI MSIMU WA ELNINO
Serikali imetenga shilingi bilioni 2.1 kufanikisha mpango wa kuwalinda wafugaji dhidi ya hasara, kabla ya kuanza kwa mvua zinazotarajiwa za El Niño. Kulingana na waziri wa kilimo Mutahi Kagwe mpango…
