SERIKALI IMEZINDUA MFUMO UTAKAORAHISISHA MCHAKATO WA KUPATA CHETI CHA GOOD CONDUCT
Waziri wa usalama Onesimus Kipchumba Murkomen, amezindua rasmi mfumo wa kisasa wa utambuzi wa alama za kibayometriki unaolenga kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi kwa kuharakisha mchakato wa kupata cheti…
