Klabu ya Manchester United, uwenda ikalazimika kwenda sokoni kabla ya musimu ujao kung’oa nanga rasmi.
Hii ni baada ya kiungo Manuel Ugarte kujeruhiwa na kupata jeraha la goti, Ugarte alijeruhiwa wakati wa mechi za kombe la dunia, na inahofiwa uwenda atakuwa nje kwa muda mrefu, uku jeraha ilo uwenda ikailazimisha Man United, kurejea sokoni ili kujaza nafasi iyo kabla ya michuano uingereza kuanza rasmi.

