You are currently viewing AFC LEOPARS YAIMARISHA SAFU YA USHAMBULIZI

AFC LEOPARS YAIMARISHA SAFU YA USHAMBULIZI

Klabu ya AFC Leopards, imemsajili mshambulizi Musa Ceesay, Ceesay mwenye umri wa miaka 24, raia wa taifa la Gambia, ametia saini mkataba wa miaka miwili na Klabu ya AFC Leopards, akitokea klabu ya Falcons.

Musa Ceesay alikuwa kwenye kikosi cha timu ya taifa la Gambia, kilicho shiriki michuano ya CHAN, na anatarajiwa kuimarisha safu ya ushambulizi ya klabu ya AFC Leoprds.