You are currently viewing ASENALI YA ZIDI KUIMARISHA KUKOSI KABLA YA MSIMU UJAO

ASENALI YA ZIDI KUIMARISHA KUKOSI KABLA YA MSIMU UJAO

Klabu ya Asenali, imekamilisha uhamisho wa mchezaji Christons Tzolis kutoka klabu ya Club Brugge, Arsenal imedhibitisha kunasa saini ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24, raia wa taifa la Ugiriki kwa kina cha Pauni Milioni 34.

Kocha wa Asenali Mikel Arteta anasema mchezaji Christos Tzolis, anachukua nafasi ya Leandro Trossard, ambaye amejiunga rasmi na klabu ya Besiktas ambayo inashiriki ligi kuu nchini Uturuki.

Mabadiliko hayo kwa klabu ya Asenali ni ya kuimarisha kikosi kabla ya musimu ujao wa 2026-2027 kung’oa nanga rasmi musimu ujao.

                                                                                  Aperit FM Hii Ni Yetu