WAZIRI MURKOMEN AWAHIMIZA WAKENYA KUZINGATIA UTENDAKAZI WA VIONGOZI KUELEKEA UCHAGUZI UJAO
Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen, amesema viongozi ambao wamewahi kushikilia nyadhifa mbalimbali wanapaswa kwanza kuwasilisha rekodi ya utendaji wao kabla ya kupewa nafasi ya kuwania nyadhifa nyingine za kisiasa. Murkomen…
