UFARANSA YAITUPA NJE MOROCCO KWENYE KOMBE LA DUNIA
Ufaransa imefuzu kucheza nusu fainali za Kombe la Dunia baada ya kuitupa nje Morocco kwa kuicharaza 2-0 kwenye robo fainali licha ya Kylian Mbappe kukosa mkwaju wa penati baada ya…
Ufaransa imefuzu kucheza nusu fainali za Kombe la Dunia baada ya kuitupa nje Morocco kwa kuicharaza 2-0 kwenye robo fainali licha ya Kylian Mbappe kukosa mkwaju wa penati baada ya…
Awali Argentina ilifanikiwa kutinga robo fainali kwa kuipiga kumbo na kuitoa nje Misri. Ilikuwa ni tukio lingine la kusisimua kutoka kwa timu ya Argentina ambayo haijui itashindwa lini. Wakiwa nyuma kwa mabao…
Ruben Vargas wa Uswisi alifunga penalti ya mwisho na kuiwezesha timu yake kuishinda Colombia 4-3 katika mikwaju ya penalti baada ya dakika 120 bila bao. Bahati ililalia upande wa Uswisi katika…
Wenyeji wenza Marekani wametolewa nje ya Kombe la Dunia baada ya kushindwa 4-1 na Ubelgiji katika hatua ya 16 bora. Ureno nayo imepigwa kumbo na kutolewa na Uhispania baada ya…
Norway imefuzu kwa robo fainali ya kombe la Dunia kwa kuishinda Brazil 2-1. Uingereza nayo imesonga mbele katika robo fainali kwa kuishinda wenyeji mwenza Mexico 3-2 Norway imefuzu kwa robo…
Bao la kichwa la mchezaji aliyetokea benchi Goncalo Ramos liliiwezesha Ureno kupenya katika hatua ya 16 bora ya kombe la dunia kwa ushindi wa 2 – 1 baada ya mpambano…
Klabu ya Manchester United, uwenda ikalazimika kwenda sokoni kabla ya musimu ujao kung’oa nanga rasmi. Hii ni baada ya kiungo Manuel Ugarte kujeruhiwa na kupata jeraha la goti, Ugarte alijeruhiwa…
Timu ya taifa ya Afrika Kusini imebanduliwa nje ya michuano ya kombe la dunia. Afrika Kusini maarufu Bafanabafana, wametupwa nje ya michuano ya kombe la dunia baada ya kufungua bao…