UHISPANIA YAONGOZA VIWANGO VYA FIFA
Uhispania kileleni kwenye viwango vya FIFA baada ya kutwaa Kombe la Dunia. Mexico, Norway na Marekani zikipanda kwa kasi kubwa. Uhispania imepanda hadi nafasi ya kwanza kwenye viwango vya FIFA baada ya…
Uhispania kileleni kwenye viwango vya FIFA baada ya kutwaa Kombe la Dunia. Mexico, Norway na Marekani zikipanda kwa kasi kubwa. Uhispania imepanda hadi nafasi ya kwanza kwenye viwango vya FIFA baada ya…
As millions of football fans around the world tuned in for the FIFA World Cup 2026 Final, Aperit FM proudly joined the global celebration by delivering an exciting live broadcast…
Uhispania imeshinda Kombe la Dunia 2026 kwa kuwabamiza mabingwa watetezi timu ya soka ya Argentina bao 1-0. Mshambuliaji Ferran Torres ndiye ameifungia Uhispania bao la pekee lililowapa ushindi na kunyakua…
Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) linachunguza uwezekano wa kuichukulia hatua za kinidhamu timu ya taifa ya Argentina, baada ya wachezaji wake kuinua bango lenye ujumbe wa kisiasa kuhusu Visiwa vya…
Watu wasiojulikana walivamia makaazi ya mchezaji wa timu ya taifa ya Uhispania Lamin Yamal muda mfupi baada ya nyota huyo kuipatia ushindi timu yake katika nusu fainali ya kombe la…
Ufaransa yaambulia patupu kwenye mchuano wa nusu fainali dhidi ya Uhispania. Lakini je Uhispania inatosha kutwaa kombe la dunia Nahodha wa Ufaransa, Kylian Mbappe, amesema timu yake ilionesha mchezo wa kiwango…
Uhispania imefanikiwa kutinga fainali ya Kombe la Dunia la Fifa 2026 baada ya kuipiga kumbo Ufaransa kwa ushindi wa mabao 2-0 katika mchezo wa nusu fainali uliochezwa mjini Dallas, Marekani.…
Timu ya tafa ya kandanda ya wasichana wasiozidi umri wa miaka 17, Junior Starlets wamefuzu kwa michuano ya Kombe la Dunia. Kenya imejikatia tiketi ya kushiriki michuano ya kombe la…
Timu za Uingereza na Norway zitachuana baadaye leo katika mechi ya robo fainali ya Kombe la Dunia. Mechi hiyo itashuhudia mchuano mkali wa washambuliaji wawili nyota, Erling Haaland wa Norway…
Uhispania imefuzu kuingia katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ubelgiji katika mechi ya robo fainali iliyochezwa mjini…