You are currently viewing LINAH JEBII KILIMO ATANGAZA KUREJEA KWENYE SIASA KUELEKEA UCHAGUZI UJAO

LINAH JEBII KILIMO ATANGAZA KUREJEA KWENYE SIASA KUELEKEA UCHAGUZI UJAO

‎Aliyekuwa Waziri, Linah Jebii Kilimo, ametangaza kurejea katika siasa mara hii akiwania kiti Cha ubunge Kwa mara nyingine , hatua ambayo imezua mjadala na kutikisa mazingira ya kisiasa katika eneo bunge la Marakwet mashariki

‎Kilimo ambaye amewahi kuhudumu katika nyadhifa mbalimbali serikalini, sasa anaingia tena katika siasa wakati ambapo maandalizi kuelekea uchaguzi wa mwaka 2027 yanaendelea kushika kasi.

‎Kulingana naye nia yake ya kurejea katika siasa ni kurejesha heshima na kuhakikisha maendeleo endelevu katika kila pembe ya eneo bunge Hilo