Aliyekuwa Waziri, Linah Jebii Kilimo, ametangaza kurejea katika siasa mara hii akiwania kiti Cha ubunge Kwa mara nyingine , hatua ambayo imezua mjadala na kutikisa mazingira ya kisiasa katika eneo bunge la Marakwet mashariki
Kilimo ambaye amewahi kuhudumu katika nyadhifa mbalimbali serikalini, sasa anaingia tena katika siasa wakati ambapo maandalizi kuelekea uchaguzi wa mwaka 2027 yanaendelea kushika kasi.
Kulingana naye nia yake ya kurejea katika siasa ni kurejesha heshima na kuhakikisha maendeleo endelevu katika kila pembe ya eneo bunge Hilo

