You are currently viewing JUNET KAFUNGUA UKURASA MWINGINE

JUNET KAFUNGUA UKURASA MWINGINE

Kiongozi wa wachache katika bunge la kitaifa Junet Mohhamed, amefichua maelezo mapya kuhusu mazungumzo ya upatanishi kati ya rais William Ruto na aliyekuwa waziri mkuu hayati Raila Amolo Odinga, yaliyoratibiwa kufanyika mwaka wa 2023.

Junet amesema rais wa Tanzani Samia Suluhu Hasaan, alifika nchini kujaribu kuwapatanisha rais Ruto na Odinga, kufuatia maandamano ya upinzani.

Amesema yeye pamoja na Odinga, walifika Nanyuki na kukutana na rais Samia huku Ruto, akitarajiwa kujiunga nao siku iliyofuata.

Hata hivyo junet anadai Ruto alikosa mkutano huo baada ya aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagua kumtishia kujiuzulu iwapo angehudhuria.

                                                                                                                         APERIT FM,HII NI YETU