KMPDU YATISHIA KUGOMA HIVI KARIBUNI
Chama cha madaktari nchini KMPDU, kimetishia kugoma iwapo serikali za kaunti hazitatekeleza nyongeza ya mishahara, kulipa malimbikizi ya madeni na kutekeleza kikamilifu mkataba wa makubaliano ya pamoja, wa mwaka 2017-2021.…
