UFADHILI KAMILI WA SERIKALI KWA MASOMO VYUO VIKUU NA VYUO VYA KATI
Rais William Ruto ametangaza kuwa wanafunzi wote watakao faulu katika mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne KCSE, nakupata nafasi katika vyuo vikuu na vyuo vya kati sasa watapata ufadhili…
