MAMA WA TAIFA RACHAEL RUTO ASISITIZA UMUHIMU WA WANAWAKE KUWEZESHWA KIUCHUMI
Mama wa taifa Rachel Ruto amesema uwezeshaji wa wanawake unapaswa kuwa endelevu kwa misingi kwamba inawapa wanawake ujasiri na uhuru wa kufanya maamuzi, kusaidia familia zao na kujenga maisha bora…
