SOKO LA NGINYANG LAFUNGULIWA TENA BAADA YA KUFUNGWA KWA MUDA
Wakazi wa Tiaty wamekaribisha kufunguliwa tena kwa soko la mifugo la Nginyang’, kufuatia kuimarika kwa usalama katika eneo hilo. Hatua hiyo inafuatia operesheni ya kijasusi iliyolenga kuondoa silaha zinazomilikiwa na…
