IDARA YA HALI YA ANGA YATOA TAARIFA NCHINI
Maeneo kadhaa nchini yanatarajiwa kukumbwa na hali ya hewa kavu kuanzia leo Agosti 18, hadi Agosti 24 mwaka huu. Kulingana na idara ya utabiri wa hali ya anga nchini, baadhi…
Maeneo kadhaa nchini yanatarajiwa kukumbwa na hali ya hewa kavu kuanzia leo Agosti 18, hadi Agosti 24 mwaka huu. Kulingana na idara ya utabiri wa hali ya anga nchini, baadhi…
‘Rais mstaafu Uhuru Kenyatta, hajafadhili kundi la linda mwananchi hata kwa peni moja’. Ni msimamo wa chama cha Jubilee kufuatia mashambulizi ambayo yameelekezwa kwake wikendi nzima, yakiongozwa na rais William…
Chama cha kitaifa cha waendeshaji Bodaboda, nacho kimetoa onyo kwa wanachama wake, kutokubali kushiriki shughuli za uhuni. Mwenyekiti wa kitaifa wa chama hicho cha waendeshaji bodaboda Kevin Mubadi, amesema kwamba…
Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna, amesema vuguvugu la Linda Mwananchi litaendelea kuwa na umoja, licha ya uhasama wa kisiasa unaoikumba vuguvugu hilo. Akizungumza mjini Homabay, Sifuna amesema kuwa kulikuwa na…
Serikali imeanza kuweka mikakati ya kuwasaidia wakulima wanao kabiliwa na athari za ukame, uku hali ya ukame wa muda mrefu ukitishia uzalishaji wa mahindi katika baadhi ya maeneo nchini. Waziri…
Rais William Ruto amesema muziki shuleni haupaswi tena kuchukuliwa kama shughuli ya ziada chini ya mfumo wa elimu unaozingatia umahiri, CBE. Rais amesema muziki sasa ni sehemu ya elimu ya…
Idara ya utabiri wa hali ya Anga imetangaza kuwa maeneo mengi ya nchi inchini, yataendelea kushuhudia ukavu na ukame baina ya Agosti 13 na terehe 20 ya mwezi huu, uku…
Kufuatia hatua ya rais William Ruto, kuzindua rasmi mazungumzo ya kitaifa, kuhusu mpango wa maendeleo wa mwaka 2060, wandani wake kwenye kaunti ya Busia wamekuwa wa hivi punde kuipongeza hatua…
Chama cha Jubilee kimemjibu vikali rais William Ruto kufuatia kauli zake za kumkosoa aliyekuwa rais Uhuru Kenyatta, na kumhusisha na ufadhili wa shughuli za upinzani. Katibu mkuu wa chama cha…
Rais William Ruto amesema mazungumzo ya kitaifa kuhusu mustakabali wa kenya baada ya Vision 2030 si mradi wa serikali, bali ni jukumu la kila mkenya.Rais Ruto amesema mpango huo unapaswa…