MVUA ZA OKTOBA HADI DESEMBA ZATAZAMIWA KUATHIRIWA NA EL NIÑO
Watabiri wa hali ya hewa wameonya kuhusu uwezekano wa mvua kubwa katika kipindi cha oktoba hadi desemba mwaka huu, huku hali ya el niño ikitarajiwa kuchangia mabadiliko ya mifumo ya…
Watabiri wa hali ya hewa wameonya kuhusu uwezekano wa mvua kubwa katika kipindi cha oktoba hadi desemba mwaka huu, huku hali ya el niño ikitarajiwa kuchangia mabadiliko ya mifumo ya…
Mahakama kuu ya Malindi imeamua kuwa uchaguzi mkuu wa urais wa Agosti mwaka wa 2027 ni kinyume na sheria, ikisema uchaguzi huo ungepaswa kufanyika Agosti mwaka 2026, kwa mujibu wa…
Seneta wa Uasin Gishu Profesa Margaret Kamar ameunga mkono Mswada wa Mfumo wa Kutaja Barabara na Anwani za Mali, akisema si Wakenya wote wanaotumia au wanaoweza kufikia huduma za Google…
Zaidi ya wanasiasa 15 wanaodaiwa kuhusishwa na matamshi ya chuki, uwenda wasiruhusiwe kuwania nyadhifa katika uchaguzi mkuu wa 2027. Hatua hiyo inafuatia kuundwa kwa kamati ya pamoja inayojumuisha tume ya…
Waziri wa mazingira na misitu, Deborah Mulongo, amewataka wakenya kupanda miti kwa wingi ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi. Akizungumza katika kaunti hii ya Trans-Nzoia, waziri Mulongo…
Rais William Ruto ameahidi kupunguza bei ya mbolea ili kuwasaidia wakulima kurejea mashambani wakati wa msimu wa mvua za buli, zinazo tarajiwa kuanza mwezi huu hadi Disemba, katika juhudi za…
Mswada wa marekebisho ya sheria ya uchaguzi ya mwaka 2024, umeibua mjadala mpya, baada ya kupendekeza kuondolewa kwa sharti la kisheria, linaloitaka tume ya uchaguzi na mipaka IEBC kutangaza moja…
Wizara ya elimu imetangaza kuwa wanafunzi wa gredi ya 9 wataanza mchakato wa kuchagua shule za upili za ngazi ya juu yaani Senior School, mkondo wa masomo Pathways na mchanganyiko…
Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen, amewakosoa viongozi wa upinzani kwa kile amekitaja kuwa ukosefu wa ajenda na dira ya kuongoza maendeleo ya taifa. Akizungumza katika hafla moja, Murkomen amewataka wakenya kuunga…
Gavana wa kaunti ya Elgeyo Marakwet, Wisley Rotich, amemrai Rais William Ruto kuhudhuria hafla rasmi ya ufunguzi wa uwanja wa Kamariny siku moja kabla ya maadhimisho ya sherehe za mashujaa…