UBELGIJI, UHISPANIA ZAFUZU ROBO FAINALI KOMBE LA DUNIA
Wenyeji wenza Marekani wametolewa nje ya Kombe la Dunia baada ya kushindwa 4-1 na Ubelgiji katika hatua ya 16 bora. Ureno nayo imepigwa kumbo na kutolewa na Uhispania baada ya…
Wenyeji wenza Marekani wametolewa nje ya Kombe la Dunia baada ya kushindwa 4-1 na Ubelgiji katika hatua ya 16 bora. Ureno nayo imepigwa kumbo na kutolewa na Uhispania baada ya…
Norway imefuzu kwa robo fainali ya kombe la Dunia kwa kuishinda Brazil 2-1. Uingereza nayo imesonga mbele katika robo fainali kwa kuishinda wenyeji mwenza Mexico 3-2 Norway imefuzu kwa robo…
Bao la kichwa la mchezaji aliyetokea benchi Goncalo Ramos liliiwezesha Ureno kupenya katika hatua ya 16 bora ya kombe la dunia kwa ushindi wa 2 – 1 baada ya mpambano…
Klabu ya Manchester United, uwenda ikalazimika kwenda sokoni kabla ya musimu ujao kung’oa nanga rasmi. Hii ni baada ya kiungo Manuel Ugarte kujeruhiwa na kupata jeraha la goti, Ugarte alijeruhiwa…
Timu ya taifa ya Afrika Kusini imebanduliwa nje ya michuano ya kombe la dunia. Afrika Kusini maarufu Bafanabafana, wametupwa nje ya michuano ya kombe la dunia baada ya kufungua bao…