You are currently viewing SERIKALI YALAUMIWA KUFUATIA KUCHELEWA KWA MCHAKATO WA USAMBAZAJI MBOLEA

SERIKALI YALAUMIWA KUFUATIA KUCHELEWA KWA MCHAKATO WA USAMBAZAJI MBOLEA

Mwakilishi   wa  akina mama katika kaunti ya  Trans Nzoia, Lilian Siyoi, amemkosoa Waziri wa Kilimo, Mutahi Kagwe, kwa kile ametaja kuwa utepetevu  kwenye mchakato wa usambazaji   wa mbolea kwa wakulima.

‎Akichangia hoja bungeni Siyoi amesema kuchelewa kwa mbolea  Siyoi, amemkosoa Waziri wa kilimo, Mutahi Kagwe, kwa kile ametaja kuwa utepetevu  katika mchakato wa usambazaji   wa mbolea kwa wakulima.

‎Siyoi ameonya kuwa Kenya inaweza kukumbwa na changamoto ya upungufu wa chakula, huku mavuno duni yakitarajiwa katika maeneo yanayolima mahindi kwa wingi, yakiwemo kaunti  ya Trans Nzoia.

‎Aidha amesisitiza umuhimu wa serikali kuweka mipango madhubuti ya kuhakikisha usalama wa chakula nchini, ikiwemo kuwawezesha wakulima kupata mbegu, mbolea na huduma za kilimo kwa wakati.kulisababisha wakulima kuchelewa kupanda, hali ambayo baadaye iliathiri  ukuaji WA mazao kutokana na kipindi kirefu cha ukame.

‎Aidha amesisitiza umuhimu wa serikali kuweka mipango madhubuti ya kuhakikisha usalama wa chakula nchini, ikiwemo kuwawezesha wakulima kupata mbegu, mbolea na huduma za kilimo kwa wakati.