WAKULIMA KUSAKA MBINU MBADALA KUZALISHA CHAKULA ZAIDI NCHINI
Wakulima nchini wamehimizwa kutumia vyema musimu ujao wa mvua za Vuli za Septemba hadi Disemba mwaka huu, kupanda mbegu zilizoidhinishwa zinazo komaa mapema, na zinazo stahimili mabadiliko ya tabianchi. Wito…
