ONYO KWA WAMILIKI WA SILAHA HARAMU KASKAZINI MWA BONDE LA UFA
Waziri wa usalama wa ndani ya Nchi Kipchumba Murkomen, ametoa onyo kali kwa majangili na wezi wa mifugo katika eneo la kasikazini mwa bonde la ufa, akisema serikali imehimarisha oparesheni…
