SEKTA YA AFYA YATANGAZA MGOMO WA KITAIFA JULAI 20 MWAKA HUU
Huduma za afya nchini zinatarajiwa kutatizika baada ya Muungano wa Vyama Vya Wafanyikazi wa Sekta ya afya kutangaza mgomo wa Kitaifa kuanzia Julai 20 mwaka huu. Katika taarifa yao muungano…
Huduma za afya nchini zinatarajiwa kutatizika baada ya Muungano wa Vyama Vya Wafanyikazi wa Sekta ya afya kutangaza mgomo wa Kitaifa kuanzia Julai 20 mwaka huu. Katika taarifa yao muungano…
Wito umetolewa kwa jamii za eneo la Bonde la Kerio kudumisha Amani na umoja na kujitenga na visa ambavyo vinasababisha ukosefu wa usalama katika eneo hilo. Akizungumza katika hafla ya…
Wanafunzi kadhaa na walimu wanaendelea kuhudumiwa hospitalini baada ya basi lao la shule kuhusika kwenye ajali katika barabara ya Kabarnet-Margat. Kulingana na shirika la msaklaba mwekundu, basi hilo lilikuwa likiwasafirisha…
Serikali hapo kesho inatarajiwa kuzindua awamu ya pili ya mpango wa kuwainua vijana kiuchumi wa NYOTA, uku ikilenga kutoa hadi Shilingi elfu 50 kwa kila mmoja wa vijana elfu 222.…
Wakenya uwenda wakakumbana na ongezeko la bei ya mafuta kufuatia kupanda kwa bei ya mafuta gafi katika soko la kimataifa uku maamlaka ya kudhibiti kawi EPRA ikitarajiwa kutangaza mapitio mapya…
Wizara ya afya imeonya kuwa uhaba wa damu unaoendelea kushuhudiwa katika hosipitali mbalimbali nchini unahatarisha maisha ya wagonjwa wanao itaji huduma za dharura na matibabu maalum. Kwa mujibu wa wizara…
Muungano wa mashirika ya kutetea haki za kibinadamu na asasi za kiraia, umeomba Bunge la Kitaifa kuanzisha uchunguzi kuhusu madai ya mauaji kiholela, kutoweka kwa watu kwa lazima, mateso na…
Tume ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya IEBC, imependekeza kiwango cha juu cha matumizi ya fedha za kampeni kwa wagombea wa Urais kuwa shilingi Bilioni 4.44, kuelekea uchaguzi mkuu wa…
Wanaharakati na makundi ya kutetea haki za kibinadamu, sasa yanawataka wakenya kutoka matabaka mbalimbali kujitokeza kushiriki maandamano ya Sab Saba. Wanaharakati hao wamesema watatembea hadi katika bunge la kitaifa, wakilalamikia…
Rais William Ruto amemjibu vikali aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagua na viongozi wengine wa upinzani wanaoendeleza kauli mbiu ya One Term, akisema siasa za Kenya haziwezi kujengwa kwa kauli…