NATEMBEYA AONYA KUHUSU MADAI YA WAGANDA KUSAJILIWA KUPIGA KURA KENYA
Gavana wa kaunti ya Trans Nzoia, George Natembeya, ameibua wasiwasi kuhusu madai ya usajili wa raia wa Uganda kama wapiga kura nchini Kenya, akisema hatua hiyo inaweza kutumiwa kuathiri matokeo…
