KENYA YAFUZU KWA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA KWA WASICHANA CHIPUKIZI.
Timu ya tafa ya kandanda ya wasichana wasiozidi umri wa miaka 17, Junior Starlets wamefuzu kwa michuano ya Kombe la Dunia. Kenya imejikatia tiketi ya kushiriki michuano ya kombe la…
