MOROTO APONGEZA MSAADA WA SERIKALI, ATOA WITO WA AMANI POKOT MAGHARIBI
Mbunge wa Kapenguria katika kaunti ya Pokot Magharibi Samwel Moroto ameipongeza serikali kuu kwa msaada ambao ilitoa kwa shule ya msingi ya Nasokol kufuatia mkasa wa moto ulioteketeza bweni la…
