GAVANA BII AWATAKA WAKENYA KUANGAZIA UTENDAKAZI KWENYE UCHAGUZI UJAO VILEVILE KUZINGATIA KILIMO MSETO
gavana wa uasin gishu, jonathan bii, amewahimiza wakazi wa kaunti hiyo kujitokeza kwa wingi na kujisajili kama wapiga kura. Bii amesema ushiriki wa wananchi katika uchaguzi ni muhimu katika kuamua…
