MISHAHARA KWA WAFINYKAZI WA UMMA KUFANYIWA NYONGEZA KWANZIA AGOSTI MOSI
Maelfu ya wafanyikazi wa umma wanatarajiwa kuanza kupokea nyongeza ya mishahara kuanzia Agosti mosi mwaka huu, baada ya waziri wa utumishi wa umma Geoffrey Ruku, kutangaza utekelezwaji wa ongezeko hilo.…
