SERIKALI YA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI YAPOKEA DAWA YENYE KIMA CHA SHILINGI MILIONI 81 KUTOKA KEMSA
Serikali ya kaunti ya Pokot Magharibi imezindua rasmi usambazaji wa shehena ya kwanza ya dawa na vifaa vya matibabu katika robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2026/2027 kuelekezwa katika…
