WAZIRI MURKOMEN ATETEA MIRADI YA SERIKALI KWENYE ZIARA YAKE TRANZOIA
Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen, amesema serikali ya Rais William Ruto inaendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo katika kaunti ya trans Nzoia kwa lengo la kuboresha maisha ya wananchi na kuimarisha ukuaji…
