Rais Ruto: “Sijawasahau Mama Mboga”
Rais William Samoei Ruto, amesema hajawasahau wafanyabiashara wadogo maarufu kama Mama Mboga, akitetea ahadi alizotoa wakati wa kampeni za uchaguzi. Rais Ruto amesema serikali yake imeendelea kutekeleza mipango mbalimbali ya kuwawezesha…
