TAARIA YA IDARA YA HALI YA ANGA
Maeneo mbalimbali nchini yatashuhudia mchanganyiko wa mvua, ngurumo za radi na vipindi vya jua kuanzia leo Julai 28 hadi Agosti 3 mwaka huu. Idara ya utabiri wa hali ya anga…
Maeneo mbalimbali nchini yatashuhudia mchanganyiko wa mvua, ngurumo za radi na vipindi vya jua kuanzia leo Julai 28 hadi Agosti 3 mwaka huu. Idara ya utabiri wa hali ya anga…
Rais William Ruto amewahakikishia wakenya kuwa uchaguzi mkuu wa 2027 utafainyika kwa amani akisisitiza kuwa serikali haitaruhusu ghasia kabla wakati na baada ya uchaguzi huo. Akizungumza katika kaunti ya Busia…
Kenyan legendary musician Mr Lenny has postponed the launch of his highly anticipated album following the heartbreaking loss of his mother. The "Cash Money" hitmaker shared the devastating news with…
Waziri wa usalama Onesimus Kipchumba Murkomen, amezindua rasmi mfumo wa kisasa wa utambuzi wa alama za kibayometriki unaolenga kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi kwa kuharakisha mchakato wa kupata cheti…
Rais William Ruto amesema kuwa mamlaka ya afya ya jamii (SHA) inaendelea kufanya kazi vizuri na kutoa huduma muhimu kwa wakenya, huku akiwahimiza wananchi wote kujiandikisha kwenye mpango huo ili…
Maamlaka ya Afya ya Jamii SHA imetangaza kuwa, kuanzia sasa malipo kwa Zahanati na Hosipitali zinazotoa huduma za matibabu ya kawaida yatategemea kiwango cha dawa wanazowapa wagonjwa baada ya kuandikiwa.…
Chama cha madaktari nchini KMPDU, kimetishia kugoma iwapo serikali za kaunti hazitatekeleza nyongeza ya mishahara, kulipa malimbikizi ya madeni na kutekeleza kikamilifu mkataba wa makubaliano ya pamoja, wa mwaka 2017-2021.…
Waziri wa afya Aden Duale, amekanusha taarifa kuwa wahudumu saba wa misaada kutoka Marekani wamewekwa kwenye Karantini ya wagonjwa wa Ebola, kilicho jengwa kwa ufadhili wa Marekani katika kambi la…
Naibu Rais Kithure Kindiki amesema kuwa kutojiamini ni moja ya viungo muhimu vinavyokosekana katika juhudi za Kenya na Afrika kufikia maendeleo na ustawi wa kiuchumi. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa…
Wakenya 477 waliorejea nchini kutoka Afrika Kusini mapema mwezi huu kufuatia mashambulizi ya chuki dhidi ya raia wa kigeni sasa wanaitaka serikali kuwapa msaada wa kifedha ili waanze upya maisha…