VIJANA WABUNI VUGUVUGU LA KUHAMASISHA AMANI CHERANGANY
Vijana kutoka eneo bunge la Cherang’any wameanzisha vuguvugu la kuhamasisha uwezeshaji wa kiuchumi na kudumisha amani kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka ujao Kampeni hiyo inalenga kuwahimiza vijana kujihusisha na shughuli…
