ASKOFU KOSGEI AHIMIZA SIASA KOMAVU NA MARIDHIANO KUELEKEA MWAKA WA 2027
Mbunge Mteule askofu Jackson Kosgei amewataka wanasiasa nchini kubadilisha mtazamo wao kuhusu siasa na kuanza kuweka mbele maslahi ya taifa, umoja na mshikamano wa Wakenya, kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka…
