LORI LA MCHANGA LAGONGA HOSIPITALI
Hali ya taaruki imetanda katika eneo la Kamorow, wadi ya Mnagei eneo bunge la Kapenguria katika kaunti ya Pokot Magharibi, barabara kuu ya Kitale-Kapenguria-Lodwar, hii ni baada ya lori moja…
Hali ya taaruki imetanda katika eneo la Kamorow, wadi ya Mnagei eneo bunge la Kapenguria katika kaunti ya Pokot Magharibi, barabara kuu ya Kitale-Kapenguria-Lodwar, hii ni baada ya lori moja…
Mbunge wa Sigor, Peter Lochakapong' amemtetea Waziri wa Afya, Aden Duale kufuatia madai ya kuchochea umma Kwa misingi ya kikabila, akisema kuwa matamshi yake yanawakilisha sauti na maslahi ya jamii…
Mgombea wa kiti cha uwakilishi wa akina mama katika Kaunti ya Baringo, Dkt. Rebecca Lomong, ametoa wito kwa jamii za wafugaji katika eneo la North Rift kuweka kipaumbele elimu ya…
Mbunge wa Sigor kaunti ya Pokot Magharibi, Peter Lochakapong, akishirikiana na kaimu mkurugenzi wa mamlaka ya maendeleo ya bonde la kerio (KVDA), Moses Kipchumba, wameongoza zoezi la ugavi wa Ngamia 100 kwa familia mbalimbali katika eneo la Masol,…
Gavana wa kaunti ya pokot magharibi, simon kachapin, amesema mipango ya kuanzisha chuo kikuu katika kaunti hiyo inaendelea vyema, akisisitiza kuwa mradi huo ni muhimu katika kuboresha upatikanaji wa elimu…
Ni afueni kwa wakulima hususan wa mahindi katika eneo la bonde la ufa, baada ya kiangazi cha muda mrefu, hali ambayo imefanya zao hilo kunyauka. Idara ya hali ya anga…
Aliyekuwa gavana wa kaunti ya Pokot Magharibi Profesa John Krop Lonyang'apuo, amesema kuwa mabadiliko yanayoshuhudiwa katika eneo la north rift ni ushahidi kwamba juhudi za serikali za kurejesha amani zimezaa…
Mwakilishi wa wadi ya Tirioko, Lokales Sam, ambaye amemtaka waziri wa usalama Kipchumba Murkomen, kuingilia kati na kuhakikisha masoko yaliyofungwa katika eneo la tiaty kutokana na operesheni za kiusalama yanafunguliwa…
Mbunge wa Sigor Peter Lochakapong ametoa wito kwa magavana kutoka kaunti za bonde la Kerio kuhakikisha masoko yote yanafunguliwa ili kutoa fursa kwa wenyeji kuendeleza shughuli za kibiashara Kulingana na…
Serikali imezindua rasmi kaunti ndogo ya Kolowa wakati wa ziara ya tathmini ya hali ya usalama katika Bonde la Kerio. Shughuli hiyo iliongozwa na waziri wa usalama Kipchumba Murkomen ,viongozi…