KAMATI YA MPITO, KUANDA MFUMO HURU WA WASIMAMIZI WA LIGI KUU NCHINI KENYA
Shirikisho la soka hapa nchini la vilabu ambazo zinashiriki ligi kuu ya humu nchini, zimekubaliana kutengeneza kamati ya mpito ya wanachama 7 itakayoandaa mpango wa kuanzisha mfumo huru wa wasimamizi…
